Date Range
Date Range
Date Range
Видео с улиц города Ярославля. СS, CSS, NHL, PES.
Retape dans le champ ci-dessous la suite de chiffres et de lettres qui apparaissent dans le cadre ci-contre.
UJANGILI WATISHIA KUDHOOFISHA UKUAJI WA SEKTA YA UTALII. UJANGILI uliokithiri nchini Tanzania unatishia kudhoofisha uchumi wa nchi ambao unazidi kukua kutokana na sekta ya utalii kuwa na mchango mkubwa kwenye pato la taifa na katika kuongeza ajira. Meru amesema kuwa japo majangili wanazidi kunufaika na biashara hii, sekta ya utalii inaendelea kuumia. Amesema Tanzania ina ajira 700,000 kutokana na utalii na anasema idadi hiyo ya ajira inaweza kuongezeka mara mbili endapo ujangili uliokithiri kwa wanya.
Mzee Mkapa awaasa waandishi wa habari. Rais mstaafu, Benjamin Mkapa. Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, amewaasa waandishi wa habari nchini kuandika habari kwa usahihi na uadilifu ili kuepuka uchochezi na kulingiza taifa kwenye vurugu na machafuko na kurudisha nyuma maendeleo. Alisema taaluma ya uandishi wa habari inayo fursa kubwa kuleta maendeleo ya kijamii na kisayansi.
Retape dans le champ ci-dessous la suite de chiffres et de lettres qui apparaissent dans le cadre ci-contre.
Stories of a Lower Class Epicurean. The Bright Side of Social Media. From WordPress to the Corporate World and Back. Mee Noodle Bar and Restaurant. Christina Grimmie Finishes Manila Tour in TriNoma.